Breaking News

OFFICIAL NEWS||TEN AFRICAN HITS THAT KEEP ON TRENDING IN TRACE TV|| [View Here]



Ukanda wa Afrika Mashariki ni miongoni mwa kanda za Afrika ambazo husifika kwa kuwa na wanamuziki ambao unafanya vizuri Afrika na duniani na kuendelea kuutangaza muziki wake.
Leo May 23, 2017 chafumedia.com imekuchambulia list ya video tisa kati ya kumi ambazo zimeruka kupitia channel ya Trace Mziki ambazo ni…
09: Arvil – Uko


08: Harmonize & Rich Mavoko – Show Me



07: Radio & Weasel – Leesu



06: Mimi Mars – Shuga



05: Butera Knowles –  Ujva Unkumbura



04: Gabu – No Spine



03: Bahati ft RayVanny – Nikumbushe



02: Orezi & Vannessa Mdee – Just Like that



01: The Kansoul – Bablas










No comments