Diamond Platnumz anaingia kwenye headlines nyingine baada ya jana kufanya show ya kukata na shoka katika JEMBEKA FESTIVAL iliyofanyika mjini Mwanza, ambapo yeye pamoja na NE-YO walitambulisha nyimbo yao mpya ambayo inasemekana inayoitwa I WILL MARY YOU. Hapa nimekuwekea kipande kifupi cha wimbo huo ambao waliutumbuiza jana:
Diamond Platnumz na Ne-yo waonjesha collabo yao katika show ya JEMBEKA
Reviewed by Chafumedia
on
05:47
Rating: 5
No comments